16 April, 2015

YA KWELI HAYA??!! AU NDIO FITNA ZA KISIASA!!!

 

SIRI NZITO YAFICHUKA: Ni mkakati mchafu wa
CCM kwa kushirikiana na ACT-Tanzania
kuihujumu CHADEMA.
Tr.27/03/2015 Saa Tano asubuhi, Pale SISIMIZI
BAR karibu na Daraja la Ubungo kona ya
University Road, Vijana wa Uvccm-UDSM
walikutana iliwaweze kujifanya wao ni
CHADEMA-UDSM na kujitokeza katika Uzinduzi
wa Chama cha ACT-Tanzania siku hyo ya j'pili
na kuuhadaa umma kama ifuatavyo:-
(1).Watajiita kuwa ni CHADEMA-UDSM, na
kuuelezea Umma kwamba wameamua kujiondoa
CHADEMA na kujiunga rasmi na ACT-Tanzania.
(2). Wamepewa kadi 57 za CHADEMA na Ndg
Habib Mchangae ambae alitimuliwa CHADEMA
na kukimbilia ACT, Hivyo watajifanya kurudisha
kadi za CHADEMA na kuchukua za ACT.
(3). Wameandaa Mabango yanayosomeka hivi
UZALENDO KWANZA, CHADEMA REST IN PEACE
(R.I.P).
(4).Wamepewa Tsh.20,000/= kwaajili ya
kuhakikisha wanatimiza adhima hiyo. Pia kuna
pesa maalumu kama Tshs.100,000/= hizo pesa
watajifanya kuichangia ACT. Na hizo pesa
zimetoka upande wa pili yaani CCM.
(5).Wametengeneza mkakati wa mawasiliano,
Kupitia namba; 0718171545 AU 0759448154.
Kwa uhakika zaidi unaweza kuwapigia namba
hiyo na kujifanya kama mdau ili ujue madudu
waliyopanga.
Wakuu wa msafara huo ni JOBU MBOZU
(Mwenye namba hizo hapo juu) na PETER M.
MATEZYE.
NOTE::
Kwa udanganyifu wowote utakaofanyika, ni
vyema mkajua kuwa ni wana ccm
wanaotaka kujifanya wao ni wanaCHADEMA wa
Chuo kikuu cha Dar es salaam. LAKINI, Mchawi
siku zote akigundulika huacha zoezi lake mara

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...