Basi
jipya kabisa la Shabiby ambalo linategemea kuanza safari zake
kuanza Jumatano hii, safari zake zitakuwa ni kati ya Dodoma Dar na
Dar Dodoma, Basi hili lina TV katika kila siti na pia ina sehemu ya
kuchaji simu au Kompyuta na pia lina Wifi ambayo ina kasi ya hali
juu, nauli ya mabasi haya ni shilingi elfu 35000 kwa kila mtu, utapata
huduma ya Chakula pamoja na vinywaji kwenye basi hili
Ads by diamondataAd Options
No comments:
Post a Comment