- KAMA NI KWELI HII NI HATARI...MI NAPITA HIVI KWA MWENDO WA AZONTO
Tume ya taifa ya Uchaguzi NEC haitambui mgombea wa UKAWA. ..inatambua mgombea wa Chama hivyo Vyama vyote vifanye booking ya kuchukua form mwisho tar 21 .8.2015 Ikumbukwe kwamba Mgombea awe amekidhi masharti yote ikiwemo KUWA MWANACHAMA KWA ZAIDI YA MIEZI MITATU kabla ya kuteuliwa kwake...
Post hiyo hapo juu niliianika kwenye ukurasa wangu wa face book, na hivi ndivyo walivyonifungukia...
- Omary Mussa Duhhhhhh !!!!
- Josephine Joseph SUJUI ATAKATWA TENA!!!!
- Jumanne Tanditse Mmmh...!! Ww babu atadondoka yule....!!!
- Yucky Lacky Na akatwe
- Omary Mussa Mhhhhhh !!!! Nooooomah
- Evance Nderuo Temba Hamna she ria ya namna iyo tanzania au imetungwa leo baada ya magufuli kuchukua fomu
- Asha Salvador Na akikatwa tena atabaki na nini jamani!!!! loh kila mkataa pema pabaya panamwita
- Gabriel Patrick Aliyekuambia amekupotosha, nani kasema kuna mgombea wa UKAWA? Yule ni wa CHADEMA, so watu wote wa UKAWA watampigia kura huyo tu, na hamna sheria inayomlazimisha chama kusimamisha mgombea urais..
- Peter Mtaita Mti wenye matunda ndio unapigwa mawe,wamesema hafai kwa ccm why aandamwe?
- Paul Juventus Mmeisha wakili kibatala Amesema hakuna hilo
- David Seleman Mmmh halafu Josephine Joseph sikuelewi hivi wewe ni team gani vileeee
- Vitalis Kisandu JJ,mbona hapo sioni cha kushangaza maana Sheria inafahamika.Ukawa siyo Chama Cha Siasa.Mgombea atakayekwenda kuchukua Form ya Uraisi kwa Tume ya Uchaguzi ni kupitia Chadema akiwa na Mgombea mwenza wake ambaye ni Mwanachadema pia.Ukawa umoja wa Katiba wa Wananchi kupitia Vyama vya Chadema,CUF ,NCCR Mageuzi na NLD watamuunga mkono.
- Ahmed Abdillahi Mpuuzi wee...
- Charlz Lillyx unatafuta kiki wewe
- Nguzzo Rajab Atakufa
- Nguzzo Rajab Hii ndio bongo ya wabongo.
Sheria msumeno haingalii wewe nani wala nafasi yako ipi. - Mlowe Airenus Kuna mambo mawili kwa huyu aliyepost. Au ni mbumbumbu wa sheria au lengo lake ni kupotosha. UKAWA ni muungano wa hiari na si chama ndo maana Lowasa kachukua form kupitia CDM. Hicho kipengele cha miezi mitatu hakipo katika sheria yoyote hapa Tanzania
- Shabani Maganga Mtoa post anatakiwa arudi darasan
- Mzee Mushi Jaman nasema siasa Tz imakuwa kama ugomvi wa walevi hauna bifu. Inashangaza sana na cjui mwaka huu uchaguz utakuwaje dah! Maana huyu mzee alivyokubalika ni hatar kabisa hii.
- Fadhili Ramadhani Sudi Nimegundua watanzania sisi tunamatatizo sana,sijui kama tutafika tunapopataka
- Mzee Mushi Ngumu sana Fadhil
- Mzee Mushi Mabadiliko tutaishia kuyasikia nchi za watu tu
- Manyumila Manota Big up @josephine
- Fadhili Ramadhani Sudi Ngoja tuone itakuwaje mana wabongo kwenye soka wachambuzi,siasa pia wachambuzi...kila mtu
- Isaac Lema Narrow understanding!!!!! Na mgombea binafsi anatakiwa awe mwanachama wa wapi na kwa mda gani
- Manyumila Manota Ushasema mgombea binafsi sio mwana chama,!
Cheap thinking - Isaac Lema Shortly hicho unachosema hakipo nadhani hukuelewa maana yangu ya kusema hivoManyumila Manota
- Isaac Lema Nashangaa unaendelea kujadili lisilokuwepo!!!! Kama vp ingia mtaroni#pita hivi
- Natamani Kuiyona Tanzup Hahahaha mi CCM kojo inahangaika mwaka huuu mtzaaa mieI 6 tu
- Wilson Chanhemo Hizi topic zingine sijui zimekula maharage ya wapi?
- Fredrick Chaula Naona Nec inataka kuaribu uchaguzi ili icheze ngoma ya ccm nasi tunasema hatutaki
- Barack Eliezer · 2 mutual friends
Humu ndani fb Kuna wanasheria wengi sana mnajiona ni mafundi wa kujua sheria sasa ni hivi NEC haitambui huo ukawa wenu hapo kila Chama lazima kitoe mgombea si waelewi nyie mnaojiita ni mabingwa wakujua sheria pia mnapenda Sana kuzusha mambo, kilochowafanya mmuzi dr amekitumikia Chama miaka 20 mtamkumbuka siku na bahati mbaya mgombea wenu hatavuka daraja la salenda
Beatus Silinde Lowasa
na duni haji wote ni wanachama wa chadema na watagombea km wanachama wa
chadema chn ya mwamvuli wa UKAWA, na iyo ya miez mi3 achen uongo
Like · Reply · 1 hr
Join me on Instagram! - I'm on Instagram as @jojothefighter. Install the app to follow my photos and videos. http://instagram.com/download/?r=381300177
Join me on Instagram! - I'm on Instagram as @jojothefighter. Install the app to follow my photos and videos. http://instagram.com/download/?r=381300177



























No comments:
Post a Comment