05 August, 2015

WATU WACHEFUKWA! KISA? BLOG YANGU IME POST WALIOSHINDA KURA ZA MAONI CCM!

 Pichani, mmiliki wa blog ya jojothefighter (Josephine Joseph)

Juzi kati katika ukurasa wangu wa facebook nilitoa post hii:

KURA ZA MAONI CCM
1. Mwigulu - Iramba
2. Nape - Mtama
3. Mwakasaka - Tabora Mjini
4. Mama Sitta - Urambo
5. Kadutu - Ulyankulu
6. Bashe - Nzega
7. Ngeleja - Sengerema
8. Seif - Igunga ktk jimbo jipya.
9. Masaburi - Ubungo
10. Patel - Ukonga
11. Prof Kamala - Nkenge, Misenyi
12. Kagasheki - 
13. Lukuvi - Isimani
14. January - Bumbuli
15. Muhongo - Musoma vijijini
16. Ndugai - Kongwa
17. Chumi - Mafinga
18. Kigola - Mufindi kusini
19. Mgimwa - Mufindi kaskazini
20. Filikunjombe - Ludewa
21. Mgimwa - Kalenga...
22. Lusinde - Mtera
23. Imani Moshi - Kaliua
24.Mwakasaka -Tabora mjini
25.Fenala Mkangara -Kibamba
26.Mapunda-Mbinga mjini
27.Masele -Kahama
28.Antony Mavunde-Dodoma

  • Afardin Issavi Mbona mgimwa imejirudia mara mbili??hayo ya ccm tuwekee na chadema au wewe shabiki wa ccm?km wa ccm sio wote tunaopenda chama cha majambazi,
  • Josephine Joseph Huwa nna post habari za vyama vyote... hii ni taarifa sio ushabiki
  • Faustine Venant Dada Masele Kahama au Shinyanga mjini?
  • Buberwa Robert Wewe unayelalamikia kuwekewa majina ya chadema huelewi nini jana ccm ndio wamefanya hii shughuli sasa chadema wanakujaje hapa au basi tu mradi uharibu post ya mwenzio?
  • Masoud Kaftany Watu wengine ccm ndio jana wanejafanya kura za maoni ndio maana mwanamtandao anawajuza wanachi matokeo sasa we ulitaka awaweke chadema jana walifanya uchaguzi wapi wa kura za maoni acheni ubishi usiokuwa wa maana.mbona cuf.act nk useme we na chadema tu.na itabaki historia kuingia ikulu hawaendi wagojwa wala wezi kule.mwandishi tupe habar za matokeo tujue matokeo
  • Venance Mwaikambo jamani naomba matokeo ya kwa wasira na kuhusu kigwangala na mwenzie
  • Nghonoli P Daud Mbona hujatoa matokeo ya Nzega vzuri???
  • Nghonoli P Daud Huyu Dada atakuwa Kada wa CCM mbona kaweka matokeo ya CCM tu!!! Wakati majimbo kibao UKAWA wameshapata wagombea!!!


  • Manfred Yustas Cc hatushabikii baiskeli za miti tehe tujuze ya ccm
  • Venance Mwaikambo Jana ndo kulikuwa na kura za maoni za wagombea wa ccm nchi nzima, chadema walishapata wagombea wao tayari wiki kama moja iliyopita, kuhusu chama kipi kitasimamisha mgombea wa ukawa katika jimbo flani bado hawajatangaza @ Nghonoli P Daud
  • Peter Simon Ni kweli ikulu hawaendi wagonjwa na vichaa
  • Dotto John Boniphace Bunda mjini wasira ameshinda
  • Masoud Kaftany Safi sana,mwakalebela iringa mjini ameshinda.
  • John Tarimo arumeru mashariki je?

  • Omary Mussa Pole Jojo na hongera sana
    Unlike · Reply · 1 · August 3 at 4:41pm

    Join me on Instagram! - I'm on Instagram as @jojothefighter. Install the app to follow my photos and videos. http://instagram.com/download/?r=381300177

    No comments:

    Post a Comment

    UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

    Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...