YAFUATAYO NI MAONI YA WADAU WANGU WA FACEBOOK:
- You, Eddy Njakani, Omary Mussa, Eddy Jeremiah and 12 others like this.
- Gilbert Mbise Sasa anamwambia nani kwani hakuna vyumba ya laki nane kwa mwaka kwani hakuna shule za laki kwa mwaka au wanaoishi hayo maisha siyo watu, Kama anavunja sheria za baraza lao la Sana'a na anazijua anamlalamikia nani arudi igunga mbona mwanzo aliishi maisha ya chini tu lkn hakufa
- Mcrose Mbaga Sasa Tumfanyeje Nyumb Za Bei Rahc Hanna Hayo Maela Yote C Angesha Jenga Manina
- Rodgers Robin Jr. Jose mate shilole hajielewi wala hajitambui bcoz yeye bado hajafikia kiwango xga kukaa nyumba ya mil 7 na kusomesha watoto shule za mil 10 life lake bado ata medium halijafika awe na life la kawaida kma letu xul za laki 5 zipo na nzuri na watoto wetu w...See More
- Marie Gold Jean Mh tumedanganywa
- Bobarts Tanzania Ningependa afutiwe adhabu kabisa.lakini apewe darasa LA kutambua kuwa hatuwezi kuhalalisha kitu linachokiuka maadili eti kwasababu kinampa pesa.hatawauza unga wanasababu kibao zinazowafanya wayauze.lakini no biashara haramu hatutairuhusu .na huyu Dada ajirekebishe.so lazima ucheze uchi ndiyo update pesa.tuache maisha ya kuigiza.tuishi kiuhalisia
- Mukunda Alain Yeah izo comment zenu akizizingatia nafikiri kama ana akili atabadirika.Na iyo ni fundisho kwake ambayo itamfanya awe macho siyo kukodi nyumba za bey gali kuliko kuwa na mpango wakununua yake binafsi.Fingua akili iyo mwaka ikipita nafikiri utaingiza ak...See More
- Ferdy W. Lameck Yaani kwa hesabu za haraka anatumia kama mil 20,000 kwa mwaka. Kwa anae jielewa angekua ameisha pata ka kibanda kake kama alivyo sema Mcrose. Naona baada ya azabu atajielewa
- Mukunda Alain iyo kweli Ferdy W. Lameck yani alikuwa hatumii kichwa kwa hesabu na kwa speed iyo angekufa bila hata pango la ndege.Acha aingize akili adhabu ibaki apo apo ili wengine iwe fundisho.
- Msafiri Nangale Makula Hiyo dada mjinga sana sio hayo tu aliyo sema amesema pia ataakikisha anatembea na mme wa huyo dada anaye simamia sanaa hiyo akili au tope.
- Mseli Msuya Kwanza hayo maisha expensive hivyo ya nini wakati hana nyumba??
- Msafiri Nangale Makula Wanaishi maisha ya kuigiza alishaonyesha nyumba nikashanga alipo sema analipa kodi ya nyumba shs 7ml kwa mwaka eti shule mtoto mmoja shs 5ml kwa mwaka na anawatoto wawili.
- Joseph John Wamfutie
- Msafiri Nangale Makula Wamfutie nini?
- Mukunda Alain Amna chakumfutiya atavuna alichopanda uyo muacheni
- Ibrahim Tobah Maadili ni muhimu kuliko mtu!!ni faida ya vizazi vyetu hata hao anaowasomesha,tena angepigwa minne atoweke kabisa!!
- Muddy Mosha Ss km kweli ana hayo majukumu anayojitangazia..,, Na kwa kujua huo muziki ndio kazi inayomuweka mjini cangeheshimu kazi yake hiyo..?? Hana lolote huyo...ss auze mwili cndio zao..??
- Francis Chingalawa Mwacheni ajifunze. Mjinga sana huyo dada. Mm naomba adhabu iongezwe .
- Warigi Muthuma wamwonee imani maskini mtoto wa wanyewe,hii soko huru
- Man Phil kodi ya nyumba m7? bora ujenge tu
- Shabani Mhando ukiwa unasomesha ndo ukae uchi
- Eddy Jeremiah Basata haishuguliki kuwaendeleza wasanii inawapatia tu umasikini.watu wanajilipia wenyewe studio na kutafuta shows wenyewe unakuja kumfungia kama Nani kawapa iyo nguvu tuwe wastaarabu kila MTU ale kwao hakuna chama cha wasanii to hell basata
Maxmillian Joseph me naomba wamsamehe, mbn wengne wametiwa kabsa, lakn hawajaambiwa lolote
Join me on Instagram! - I'm on Instagram as @jojothefighter. Install the app to follow my photos and videos. http://instagram.com/download/?r=381300177



















No comments:
Post a Comment