11 August, 2016

HII KALI! MARUFUKU KUPIGA PICHA WODINI

...Simu za Kamera Kuzuiwa Kuingia Wodini


Naibu Waziri wa Afya, Kigwangalla ameagiza Hospitali zote nchini kuzuia kupiga picha wodi za wagonjwa, pia kuzuia simu zenye kamera kuingizwa mawodini.

Amesema picha zinazopigwa mawodini huzusha taarifa za uongo, na picha hizo hutumika kusingizia watu!!! Ya kweli haya. 
 
MY TAKE
Hakuna sababu ya kuwa na hofu ya kupiga picha kama yanayotendeka ni wazi na dhahiri
 

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...