11 August, 2016

MTOTO WA OBAMA ATIA FORA BAADA YA KUAJIRIWA KWENYE MGAHAWA WA DAGAA




Ni Ajabu lakini ni Kweli Binti wa kwanza wa Rais wa Marekani Baracka Obama, Sasha Obama ametia Fora baada ya kuamua kwamba Pamoja na Kwamba baba yake ni Rais na Tajiri wa Marekani lakini nayeye ajiingizie Kipato chake mwenyewe. Kwa Maamuzi yake mwenyewe wakati huu akiwa Likizo ameamua Kurudi kwenye Kazi yake ambayo alishawahi kuifanya Kimya Kimya ya kuhudumia Wateja kwenye Mgahawa Mmmoja Maarufu ujulikanao kamaNancy’s
restaurant unaopatikana huko huko Massachusetts Boston. Habari ya binti huyo imechukua Headlines na cha Kufurahisha zaidi ni kwamba Mgahawa huo ni Maarufu zaidi kwa kuuza Dagaa wa Kukaanga. 
SASHA OBAMA
Mmoja wa Wahudumu Wambea wa Mgahawa huo ametonya Vyombo vya habari kwamba Msichana huyo anaingia kazini kama kawaida na anafanya kazi mpaka saa sita mchana ila utofauti na Wafanyakazi wengine ni kwamba yeye huwa haandiki jina lake kwenye Kitabu cha mahudhurio.
Utakuwa unajiuliza kwamba sasa Obama hahofii usalama wa Binti yake? Sasa jibu ni kwamba Msichana huyo ana Walinzi ambao yuko nao Kila hatua Kibaruani kwake hapo.
HONGERA SANA KWA BINTI HUYU ALIYEAMUA KUUTHIBITISHA UKENYA WAKE Japo Kazaliwa Marekani ila ameonyesha kwamba kweli Damu ya Kenya aliyoipata kwa Baba Yake inafanya kazi…..




NITAKUSHANGAA WEWE KIJANA MWENZANGU UNAYECHAGUA KAZ

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...