26 August, 2016

KUTANA NA MWANAMKE ALIYEZAA WATOTO WANNE KWA MPIGO!!

DEVOTHA MFOI (KATIKATI) PAMOJA NA JOJO NA MUME WA DEVOTHA KUSHOTO


Like
Devotha Amezaliwa mwaka 1987, ni mchaga na makazi yake yapo Mailisita; Yeye pamoja na mume wake wamebarikiwa kupata mapacha wakike wanne kwa mpigo. Hali ya mama inaendelea vizuri pamoja na watoto. Huu ni uzao wake wa pili; Katika uzao wa kwanza Devotha na mume wake wamejaliwa mtoto wa kiume.

Kwa sasa bado Devotha yupo KCMC gorofa ya 3 chumba namba 21. Kwa yeyote aliyeguswa, usisite kumtembelea na kumpa msaada kwasababu yeye pamoja na mume wake wanaishi maisha ya kawaida na kumudu kutunza watoto wanne ni gharama kubwa.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...