30 October, 2023

MAMA DIAMOND "DIAMOND PLATNUMZ ANA ASILI YA CONGO"

 

Ni watu wachache sana ambao wanaweza kukaa na siri moyoni mwao kama mama Dangote.

Hakuna aliyejua kuwa Diamond baba yake ni Mkongo kabla ya yeye kuthibitisha hilo siku kadhaa zilizopita.

Diamond mwenyewe alijua baba yake ni Marehemu mzee Nyange kumbe alikuwa anadanganywa tu.

Kwa hili hakuna wa kumbishia maana siri ya baba wa mtoto ajuae ni mama.

 

Japo hakumtaja wazi kwa jina lakini inadaiwa Diamond baba yake alikuwa kaka yake na PAPA WEMBA ambaye kwa sasa ni marehemu. 

 

Mama dangote amelitunza hili kwa takribani miaka 30, Je! ikiwa kuna ukweli huyu mama tumuite??


No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...