25 February, 2012

HUU SI UTU!


Iliwahi kuripotiwa  huko Bara la Asia wanamini kuzaa mtoto wa kwanza wa kike ni Dalili za mambo mabaya huko mbeleni, hivyo  huwa wakizaa watoto wa kike wanawatupa. Huu si utu kabisa, pengine hata wewe unajiuliza  shirika la UNICEF linafanya kazi gani? Wakati wengine wanalia na kuomboleza ili wapate watoto wengine wanawatupa. Baadhi ya wanawake huko bara la Asia hutupa watoto wao wa kwanza wa kike kwasababu ya mila, sina uhakika kama Tanzania kuna mila hii.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...