Sala Kuu:
MOSHI: Mungu Onesha Sehemu Hela Iko
Viitikio:
1.
Hata Ikipungua Mungu Ongeza!
(HIMO)
2.
Mungu Angalia RAia NGawira Utuhakikishie!
(MARANGU)
3. Mungu Ahidi Mapesa Bila Ajira!
(MAMBA)
4. Mungu Wekeza Ishara Kwenye Akaunti!
(MWIKA)
5. Kristu Imarisha Leo Elimu na Mapesa Akauntini!
(KILEMA)
6. Kristu Imarisha Riziki Ujaze Akaunti!
(KIRUA)
7. Usitunyime Riziki Uchumi!
(URU)
8. Kila Ikipungua Baba Ondoa Siasa Hela Ongeza!
(KIBOSHO)
9. Mungu Atupe Chanzo Halisi Ambacho Mapesa ni Endelevu!
(MACHAME)
10. Kwetu Ikikosekana SHIlingi MUngu Nakuapia Dunia Utaichukia!
(KISHIMUNDU)
Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
27 February, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...
-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Dodoma. Bunge Maalumu la Katiba linaanza vikao vyake tena leo mjini Dodoma, huku kukiwa na jitihada kubwa za kujaribu kuweka udh...
No comments:
Post a Comment