Umati
wa watu uliofurika kwa Mganga wa Jadi Flora Ndembo Namabengo wilaya ya
Namtumbo Mkoani Ruvuma watu wapatao
400 wameomba Serikali ichukue Mkondo wa Sheria pia Mtoto wa Pili wa
Mama Kondrada Ngonyani ameomba Serikali ichukue hatua za kisheria dhidi
ya condorada ngonyani na joseph Mapunda.
Joseph
Mapunda mwenye umuri wa miaka 40 amesema ameweza kuishi kindoa na Mama
yake Mzazi Condorada Ngonyani 70 baada ya yeye
kukubaliana wenyewe yeye na mama yake mzazi kuishi kindoa kama mume na
mke alipo ulizwa Mama alikiri kuwa kweli wameishi kindoa kwa miaka 10 na
anampenda Mume wake ambaye ni Mtoto wake Joseph Mapunda.
Mama
Condorada Ngonyani mwenye umuri wa miaka 70 ambaye ana ishi kinyumba na
mtoto wake watatu wa kumzaa mwenyewe kama Mke na Mume hapo anaonekana
akisononeka
kwa nini jamii iingilie ndoa yake
Kwa
mkoa wa Ruvuma hii ni mara ya kwanza mtoto wa kiume Joseph Mapunda
pichani hapo juu kutembea na mama yake mzazi. Wana Ruvuma wanauliza
tume jikwaa wapi watanzani hadi kupoteza mila desturi na maadili ya
mtanzania pia kukiuka sheria za dini.
Joseph Mapunda ana sema upendo ni upendo amempenda mama na anaishi kindoa wamependana nyie watu mnataka nini kwetu ?
Mama Condorada Ngonyani anasema mara baada ya kufariki mume wake Mzee Mapunda alimchagua mtoto wake amrithi baba yake
Wananchi
wa Mkoa wa Ruvuma wameiomba Serikali kupitia Wizara ya Maendelo ya
Jamii, Jinsia na wtoto kuangalia kati sheria inayomruhusu Mtoto na Mama
Mzazi kuweza kuishi kindoa
No comments:
Post a Comment