29 September, 2013

WANAWAKE ELFU 8 WAANDAMANA NCHINI NIGERIA KUSHINIKIZA SERIKALI IWASAIDIE KUOLEWA

YALITABIRIWA‬ SASA YANATOKEA
Wanawake Elfu 8 nchini Nigeria waandamana kuishinikiza Serikali iwasaidieWAOLEWE....
Nigeria ina upungufu wa wanaume wa kuoa kiasi kwamba wanawake wanaotamani kupata wenza na kutengeneza familia wameamua kuchukua hatua. Zaidi ya wanawakeelfu 8 walio single
jana wameandamana kutokana na upungufu wa wanaume wa kuwaoa. Lengo la maandamano
yao ni kuishinikiza serikali kuwasaidia waolewe, kivipi? (Ndio swali hata mimi nimejiuliza!) Wanawake
waliojikusanya na kuandamana ni mkusanyiko wa 5380 waliopewa talaka, 2200
ni wajane 1200 yatima, na 80 wengine. Wanawake hao wamedai kuwa hawana uwezo
hata wa kununua chakula cha siku kwa sababu hawana wanaume wa kuwasaidia ndio maana wanahitaji
wanaume wa kuwaoa na kuwasaidia mahitaji yao.

Chanzo: NAIJA GISTS na Mpekuzi

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...