05 August, 2014

KIJANA MMOJA AMPASUA KICHWA MTOTO WA BOSI WAKE, ATAFUNA UBONGO WAKE KISHA AJIKATA UUME WAKE NA KUUTAFUNA!!!!!

PICHA YA MAREHEMU MRAMBA AKIWA NA MAJERAHA KICHWANI

  Mkoani Kilimanjaro: wiki iliyopita  Kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Laurent Mramba amemuua mtoto wa bosi wake wa darasa la pili kwa kumpiga panga la kichwa na kisha kuula ubongo wa mtoto huyo!

 Baada ya tukio hilo la kinyama, kijana huyo aliukata uume wake mwenyewe na kuutafuna! 
SEHEMU ZA SIRI ZILIZOKATWA NA MAREHEMU MWENYEWE

Kijana huyo ni mkazi wa Marangu ambaye alikuwa ni akimsaidia wa kazi baba mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika mpaka sasa.
Baada ya vitendo hivyo vya kinyama na vya kutisha, kijana huyo alipoteza maisha, na bado haijathibikika kuwa ama alijiua mwenyewe ama aliuawa na wananchi wenye hasira kali. Kinachoonekana ni kuwa ana majeraha sehemu za kichwani na pale alipojikata kwenye sehemu zake za siri.

JERAHA LA SEHEMU ZA SIRI ZA MRAMBA 
Chanzo cha habari hii kinaeleza kuwa bila shaka kijana huyo alipatwa na kichaa na hivyo kujikuta akifanya mambo yasiyo ya kawaida!

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...