05 August, 2014

POLISI WAWAKAMATA WATU ZAIDI YA 5 WALIWAKUTA WAKIVUNJA AMRI YA 6 NDANI YA CHUMBA KIMOJA!!!

Tukisema dunia imekwisha watu hawaamini, mimi ninadhani ni wakati wakumgeukia Mungu sasa. Vijana hawa wamekamatwa kwa kosa la kufanya mapenzi kwa pamoja  wakiwa chumba kimoja na wasichana wao huko nchini Nigeria.


Taarifa zinasema baada ya watu kujua upuuzi uliokuwa unafanywa na wanaume hao wa kuwalia  wapenzi wao wote  uroda katika chumba kimoja, waliwapa polisi taarifa na punde polisi hao hao wakaja kuwakuta na kuwafikisha katika kituoni ili wajianda kujibu mashtaka.

Miongoni mwa vijana hao huyu hapa chini  aliyetambulika kwa jina la Jesse Orowo Omokoh 



Hapa wanavishwa pingu kama ishara ya kufahidi uhondo wakufanya mapenzi chumba kimoja.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...