Mwanamuziki mwenye uwezo mkubwa wa kuimba na kucheza nchini Marekani, Usher Raymond ameonekana kuwa na close na ex wife wake Temeka ambaye baada ya kuachana alimkataza asitumie jina lake tena, lakini siku chache zilizopita Usher alionekana kuwa karibu na mkewe wa zamani, swali je Usher atarudi tena kwa mke wake Tameka? hapa Usher akijibu swali liliulizwa katika interview na Angie Martinez “I’ve been even more excited about the idea of it. It could be the fact that I’ve spent the last year at everybody’s damn wedding, like I’ve become damn near the wedding singer, know what I mean?”
Never afraid to try on your own; No matter what, you can keep it real. Trust yourself...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?
Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...
-
Ee Mungu Mwenyezi uliyekubali Mwanao Yesu Kristu ateswe mpaka kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu naomba uwe nami. Ee Msal...
-
Dodoma. Bunge Maalumu la Katiba linaanza vikao vyake tena leo mjini Dodoma, huku kukiwa na jitihada kubwa za kujaribu kuweka udh...
No comments:
Post a Comment