02 September, 2014

BINTI AMEZWA NA CHATU

Photo: Ni matukio ambayo ni adimu na ni nadra sana kutokea hii imetokea katia eneo moja la kisiwa ambapo inasadikika kuwa binti huyu alikwenda kwaajila ya kuoga baada ya kuwa ametumia kilevi sana. Lakini tahadhari zimeshatolewa kuwa eneo hilo halifai,,

Angalizo kwetu: tusikie,tuheshimu na tuzingatie tunayoambiwa,,Mungu aipokee roho yake mahali pema peponi AmenNi matukio ambayo ni adimu na ni nadra sana kutokea hii imetokea katika eneo moja la kisiwa ambapo inasadikika kuwa binti huyu alikwenda kwa ajili ya kuoga baada ya kuwa ametumia kilevi sana. Lakini tahadhari zimeshatolewa kuwa eneo hilo halifai....

Angalizo: tusikie, tuheshimu na tuzingatie tunayoambiwa, Mungu aipokee roho yake mahali pema peponi Amen.

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...