Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wauguzi waliovalia
mavazi maalumu tayari kutoa huduma kwa abiria atayekutwa na ugonjwa wa
ebola mara atapowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara alipowasili
kutokea Dodoma.
Baadhi ya wahudumu waliovalia mavazi maalumu wa wodi maalumu
iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la
hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara
alipowasili kutokea Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Waziri wa Afya na Ustawi wa
Jamii Dkt. Seif Rashid jinsi Tanzania ilivyojipanga kupambana na
ugonjwa hatari wa ebola baada ya kukagua wodi maalumu iliyotengwa kwa
ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la hospitali ya Temeke
jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara alipowasili kutokea
Dodoma.
Baadhi ya wahudumu waliovalia mavazi maalumu wa wodi maalumu
iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la
hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara
alipowasili kutokea Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwaangalia wahudumu waliopata mafunzo
maalumu ya kumhudumia mgonjwa wa ebola wakati alipokagua wodi maalumu
iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la
hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara
alipowasili kutokea Dodoma. PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwaangalia wahudumu waliopata mafunzo
maalumu ya kumhudumia mgonjwa wa ebola wakati alipokagua wodi maalumu
iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la
hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara
alipowasili kutokea Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya jinsi vifaa maalumu
vinavyofanya kazi ya kutambua wagonjwa wa ebola mara watapowasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Septemba 9, 2014 mara alipowasili kutokea Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maelekezo ya namna ya kuhudumia
abiria wakati wa ukaguzi wa wagonjwa wa ebola mara watapowasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Septemba 9, 2014 mara alipowasili kutokea Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya jinsi madakrai na wauguzi
walivyo jiandaa kufanya ukaguzi wa abiria na kutambua wagonjwa wa ebola
mara watapowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jueb4: lius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara alipowasili
kutokea Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo wakati alipokagua wodi
maalumu iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo
la hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara
alipowasili kutokea Dodoma.
No comments:
Post a Comment