Ndoa
ya mwanuziki Jay dee na mtangazaji mashuhuri wa radio Gardner G. Habash
inasemekana imevunjika huku Gardner akihama Kimara alikokua akiishi na
mkewe na kuhamia kwa moja wa ndugu zake wa karibu sana.
Chanzo
cha kuvunjika ndoa hiyo bado hakijajulikana moja moja kwa moja ila
wawili hao wamekuwa katika migogoro kwa muda.. na si mara ya kwanza
kutengana ila this time hali si shwari... yazidi kusemekana Gardner
kazidi michepuko amekua haibi tena anafanya bayana mpaka mwenye mali
anajua anavyoibiwa.
Kudhihirisha hayo katika ukurasa wake wa IG dada jide ameandika "Walking Away From Troubles" ambapo upembuzi yakinifu waonesha
mambo si sawa hata kidogo.
Gardner kabla ya kumuoa Jide alikua tayari na mke halali wa ndoa na mtoto mmoja.
No comments:
Post a Comment