Watu wengi walikuwa wanatamani wamuone ni kijana wa aina gani anaeweza kusababisha mtu ajichome kisu!!??
Kumbe ni kijana mdogo sana! Ana miaka 20 tu...! Ila kwasababu mapenzi hayachagui; mimi na wewe hatujui mwanadada alipenda nini zaidi!! Ila msema kweli mpenzi wa Mungu, kijana huyu Mashallah, ana muonekano wa kuvutia na anajua kupangilia mavazi...!!!
No comments:
Post a Comment