27 April, 2015

ALIYEKUWA MUME WA SHAMSA FORD NAE ALIPIZA KISASI

  •  Amwagia Sifa Siwema Aliyekuwa Mchumba wa NAY WA MITEGO Kumuumiza Shamsha

Mume wa Shamsa Ford, Dicky ametumia ukurasa wake wa Instagram kumwagia sifa aliyekuwa mpenzi wa Nay Wa Mitego, Siwema.

Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya aliyekuwa mke wa Dicky, muigizaji Shamsa Ford kuonekana kwenye picha zilizosambaa mtandaoni akimbusu Nay wa Mitego!


Hivyo anachokifanya Dicky kwa sasa ni kulipiza kisasi kwa Nay aliyemchukulia mke wake!

Hizi ni picha aliyoweka kwenye Instagram na kumwagia sifa Siwema.



No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...