27 April, 2015

SIWEMA AJIBU MAPIGO KWA NAY WA MITEGO!

  • SIWEMA Ajibu Mapigo Amuonyesha Serengeti Boy aliyefumaniwa Naye..Ni Baada ya Nay wa Mitego Kuanza Kuishi na Shamsa Ford

Ni kama Vile Kujibu Mapigo..Mrembo Siwema ambaye alikuwa Mpenzi wa Nay wa Mitego na kumzalia mtoto mmoja na kisha kupigana chini kwa tuhuma za kumfumania laivu akiwa na Kiserengeti Boy ameanza kumuweka wazi katika mitandao kijana ambae ni mpenzi wake kwa sasa..

Inasemekana mapenzi na Kijana huyo hayakuanza jana wala leo ili yapo muda mrefu ila walikuw wakifanya kwa siri mpaka siku Nay wa mitego alipofumania mchezo na kuamua kuchukua mtoto wake na Kusema...

Kijana huyu ambae anaonekana ni mdogo watu wengi wa huko mwanza wamempa jina la kiserengeti boy..Kwa sasa anaonekana kila kona akiongozana na Siwema bila kificho kama zamani..
Siwema Akiwa na Serengeti Boy na Rafiki yao

No comments:

Post a Comment

UKIONDOA DIPLOMA, DEGREE AU PHD ULIYONAYO, KICHWA CHAKO KINABAKI NA NINI?

Horace Mann - Binadamu wa kwanza kugundua wazo la elimu Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni ...