Usiku wa kuamkia July 19 2015 Diamond Platnumz alinyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.
Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi; "Mbona Bado, Mtanyooka tu.." @ diamondplatnumz
Baadae Jokate nae akaandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu video hiyo ambayo alimpost Diamond.
"Tuki-support mtu ndio kama hivi matokeo yake mtu anatumia baadae kukudhalilisha.
"Hii video aliyo-post kwanza ni TBT kama sijakosea mwaka jana mwishoni nilikuwa sehemu na my friends @bikira_wa_kisukumaakani-record na kumtumia@diamondplatnumz bila mimi kujua.
"Kiukweli sijui kwanini walifanya hivyo. Nikaja kujua baadae sana na nikaona sio big deal cause kila mtu anapenda mziki na sio dhambi kucheza mziki wowote uupendao.
"Hii video aliyo-post kwanza ni TBT kama sijakosea mwaka jana mwishoni nilikuwa sehemu na my friends @bikira_wa_kisukumaakani-record na kumtumia@diamondplatnumz bila mimi kujua.
"Kiukweli sijui kwanini walifanya hivyo. Nikaja kujua baadae sana na nikaona sio big deal cause kila mtu anapenda mziki na sio dhambi kucheza mziki wowote uupendao.
"Ila kitendo cha@diamondplatnumz kwenda kuitafuta huko ilikokuwa hii video clip na kui-post leo najiuliza maswali mengi
"1, anataka ionekana kama nilikuwa nashangilia ushindi wake? Which is not bad hakuna ubaya hapo kama unaamini ushindi wake ni sifa kwa taifa ila
"2, Kwanini a-post na caption ya Na Bado Mtanyooka? Ili amkomoe nani? Au kwasababu niko karibu saaana na @alikibaofficialanatafuta kutuchonganisha? Ili iweje? Mimi I believe life goes on na kila mtu ana uhuru wa kumpenda au kuwa karibu na yule apendaye na kum-support ndio maana hata mimi nimekuacha na your new life
"3, Pengine ni kweli anaendeleza zile hulka zake za kudhalilisha wanawake aliokuwa nao waonekane sio kitu just because hawako na diamond platnumz chibu dangote. Which to me is just dead wrong.
"@diamondplatnumz
hizi sio tabia tunazozitegemea kwa mtu anayejisema anakomboa mziki wa
Tanzania sio kwa kuweka visasi na fitna zako wazi wazi hivi. Unatu fanya
tukose imani nawewe zaidi na tunaogopa ku-support cause hukawi
kutugeuka.
"Kuwa
tofauti basi, onyesha mfano kwamba kweli hupendi beef unapenda mziki wa
Tanzania uendelee ila kwa ulichoki-post unaonyesha wazi UNA visirani na
hutaki mema unatafuta drama, kiki, vurugu unataka kila siku uwe wewe tu
ambazo kiukweli mimi binafsi siziwezi utaendelea kushinda wewe tu
katika hilo na sitashindana nawewe katika hilo kwasababu siwezi nawewe
unajua kama ulivyoniimba mimi mpole, sinaga maneno ( ila kwenye kazi
ndio nakuwa mkali kama pilipili ). Ila ungetumia busara kidogo.
"Just
move ON kiroho safi. Naomba pia nitumie fursa hii kukupongeza kwa tuzo
yako ya MTV ila@babutale hata wewe ndugu yangu? Is this how tunaendeleza
so called uzalendo?
No comments:
Post a Comment