Kwenye
mfululizo wa matukio yaliyoshtua watu wengi Tanzania, liko pia ambalo
lilitokea usiku wa July 12 2015 ambapo Majambazi walivamia Kituo cha Polisi Stakishari Ukonga Dar, wakauawa watu 7 wakiwemo pia Askari wanne na watu wengine watatu.
Leo taarifa imetolewa na Kamanda Suleiman Kova kwamba
kuna watu watano wamekamatwa wakihusishwa na tukio hilo na pia kuna
silaha ambazo zimekamatwa, ziko Bunduki 15 pamoja na Risasi 28 ambazo
zote ni sehemu ya zilizoibiwa wakati wa tukio la Ujambazi uliofanyika
Stakishari.
No comments:
Post a Comment